Mt. 17:22 Swahili Union Version (SUV)

Nao walipokuwa wakikaa Galilaya, Yesu akawaambia, Mwana wa Adamu anakwenda kutiwa katika mikono ya watu, nao watamwua, na siku ya tatu atafufuka.

Mt. 17

Mt. 17:21-25