Mt. 16:5-7 Swahili Union Version (SUV)

5. Nao wanafunzi wakaenda hata ng’ambo, wakasahau kuchukua mikate.

6. Yesu akawaambia, Angalieni, jilindeni na chachu ya Mafarisayo na Masadukayo.

7. Wakabishana wao kwa wao, wakisema, Ni kwa sababu hatukuchukua mikate.

Mt. 16