Mt. 12:19-21 Swahili Union Version (SUV)

19. Hatateta wala hatapaza sauti yake;Wala mtu hatasikia sauti yake njiani.

20. Mwanzi uliopondeka hatauvunja,Wala utambi utokao moshi hatauzima,Hata ailetapo hukumu ikashinda.

21. Na jina lake Mataifa watalitumainia.

Mt. 12