Mt. 1:24-25 Swahili Union Version (SUV)

24. Naye Yusufu alipoamka katika usingizi, alifanya kama malaika wa Bwana alivyomwagiza; akamchukua mkewe;

25. asimjue kamwe hata alipomzaa mwanawe; akamwita jina lake YESU.

Mt. 1