Mk. 9:48-50 Swahili Union Version (SUV)

48. ambamo humo funza wao hafi, wala moto hauzimiki.

49. Kwa sababu kila mtu atatiwa chumvi kwa moto.

50. Chumvi ni njema; lakini chumvi ikiwa si chumvi tena, mtaitia nini ikolee? Mwe na chumvi ndani yenu, mkakae kwa amani ninyi kwa ninyi.

Mk. 9