9. lakini wajifungie viatu; akasema, Msivae kanzu mbili.
10. Akawaambia, Mahali po pote mtakapoingia katika nyumba, kaeni humo hata mtakapotoka mahali pale.
11. Na mahali po pote wasipowakaribisha ninyi wala kuwasikia, mtokapo huko, yakung’uteni mavumbi yaliyo chini ya miguu yenu, kuwa ushuhuda kwao.
12. Wakatoka, wakahubiri kwamba watu watubu.