Mk. 5:27-29 Swahili Union Version (SUV)

27. aliposikia habari za Yesu, alipita katika mkutano kwa nyuma, akaligusa vazi lake;

28. maana alisema, Nikiyagusa mavazi yake tu, nitapona.

29. Mara chemchemi ya damu yake ikakauka, naye akafahamu mwilini mwake kwamba amepona msiba ule.

Mk. 5