Mk. 4:40-41 Swahili Union Version (SUV)

40. Akawaambia, Mbona mmekuwa waoga? Hamna imani bado?

41. Wakaingiwa na hofu kuu, wakaambiana, Ni nani huyu, basi, hata upepo na bahari humtii?

Mk. 4