Mk. 2:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Akaingia Kapernaumu tena, baada ya siku kadha wa kadha, ikasikiwa ya kwamba yumo nyumbani.

2. Wakakusanyika watu wengi, isibaki nafasi hata mlangoni; akawa akisema nao neno lake.

Mk. 2