Mk. 15:6-8 Swahili Union Version (SUV)

6. Basi wakati wa sikukuu huwafungulia mfungwa mmoja, wamwombaye.

7. Palikuwa na mtu aitwaye Baraba, amefungwa pamoja na watu waliofanya fitina, na kufanya uuaji katika fitina ile.

8. Makutano wakaja, wakaanza kuomba awafanyie kama vile alivyozoea.

Mk. 15