Mit. 30:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Maneno ya Aguri bin Yake; mausia mtu huyu aliyomwambia Ithieli, naam, Ithieli na Ukali.

2. Hakika nimekuwa kama mnyama, wala si mtu;Wala sina ufahamu wa mwanadamu;

3. Wala sikujifunza hekima;Wala sina maarifa ya kumjua Mtakatifu.

Mit. 30