Amwimbiaye nyimbo mtu mwenye moyo mzito,Ni kama yeye avuaye nguo wakati wa baridi;Ni kama siki juu ya magadi.