Mit. 20:28-29 Swahili Union Version (SUV) Fadhili na uaminifu humhifadhi mfalme,Na kiti chake cha enzi huthibitishwa kwa fadhili. Fahari ya vijana ni nguvu