Mit. 11:7-9 Swahili Union Version (SUV)

7. Mtu mwovu atakapokufa, taraja lake lapotea;Na matumaini ya uovu huangamia.

8. Mwenye haki huokolewa katika dhiki,Na mtu mwovu ataiingia badala yake.

9. Asiyemcha Mungu humpoteza jirani yake kwa kinywa chake;Bali wenye haki watapona kwa maarifa.

Mit. 11