Mhu. 7:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Heri sifa njema kuliko marhamu nzuri;Na siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa.

2. Heri kuiendea nyumba ya matanga,Kuliko kuiendea nyumba ya karamu. Kwa maana huo ndio mwisho wa wanadamu wote, naye aliye hai atautia moyoni mwake.

3. Huzuni ni afadhali kuliko kicheko,Maana simanzi ya uso ni faida ya moyo.

Mhu. 7