Mdo 5:5-7 Swahili Union Version (SUV)

5. Anania aliposikia maneno haya akaanguka, akafa. Hofu nyingi ikawapata watu wote walioyasikia haya.

6. Vijana wakaondoka, wakamtia katika sanda, wakamchukua nje, wakamzika.

7. Hata muda wa saa tatu baadaye mkewe akaingia, naye hana habari ya hayo yaliyotokea.

Mdo 5