Mdo 28:2 Swahili Union Version (SUV)

Wenyeji wakatufanyia fadhili zisizokuwa za kawaida. Kwa maana waliwasha moto, wakatukaribisha sote, kwa sababu ya mvua iliyonyesha na kwa sababu ya baridi.

Mdo 28

Mdo 28:1-7