Mdo 27:40 Swahili Union Version (SUV)

Wakazitupilia mbali zile nanga, na kuziacha baharini, pamoja na kuzilegeza kamba za sukani, wakalitweka tanga dogo ili liushike upepo, wakauendea ule ufuo.

Mdo 27

Mdo 27:33-44