Mdo 18:28 Swahili Union Version (SUV)

Kwa maana aliwashinda Wayahudi kabisa kabisa mbele ya watu wote, akionyesha kwa maneno ya maandiko ya kuwa Yesu ni Kristo.

Mdo 18

Mdo 18:19-28