Mdo 17:26 Swahili Union Version (SUV)

Naye alifanya kila taifa la wanadamu kutoka katika mmoja, wakae juu ya uso wa nchi yote, akiisha kuwawekea nyakati alizoziamuru tangu zamani, na mipaka ya makazi yao;

Mdo 17

Mdo 17:16-34