Mdo 14:16-18 Swahili Union Version (SUV)

16. ambaye zamani zilizopita aliwaacha mataifa yote waende katika njia zao wenyewe.

17. Lakini hakujiacha pasipo ushuhuda, kwa kuwa alitenda mema, akiwapeni mvua kutoka mbinguni, na nyakati za mavuno, akiwashibisha mioyo yenu chakula na furaha.

18. Na kwa maneno hayo wakawazuia makutano kwa shida, wasiwatolee dhabihu.

Mdo 14