Lk. 7:48-50 Swahili Union Version (SUV)

48. Kisha alimwambia mwanamke, Umesamehewa dhambi zako.

49. Ndipo wale walioketi chakulani pamoja naye walianza kusema mioyoni mwao, Ni nani huyu hata asamehe dhambi?

50. Akamwambia yule mwanamke, Imani yako imekuokoa, enenda zako kwa amani.

Lk. 7