Lk. 4:43-44 Swahili Union Version (SUV)

43. Akawaambia, Imenipasa kuihubiri habari njema ya ufalme wa Mungu katika miji mingine pia; maana kwa sababu hiyo nalitumwa.

44. Basi, alikuwa akihubiri katika masinagogi ya Galilaya.

Lk. 4