Lk. 20:29-32 Swahili Union Version (SUV)

29. Basi, kulikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa mke, akafa hana mtoto;

30. na wa pili [akamtwaa yule mke, akafa hana mtoto;]

31. hata wa tatu akamwoa, na kadhalika wote saba, wakafa, wasiache watoto.

32. Mwisho akafa yule mke naye.

Lk. 20