Lk. 19:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Naye alipoingia Yeriko alipita katikati yake.

2. Na tazama, palikuwa na mtu, jina lake Zakayo, mkubwa mmoja katika watoza ushuru, naye ni tajiri.

Lk. 19