Lk. 15:4 Swahili Union Version (SUV)

Ni nani kwenu, mwenye kondoo mia, akipotewa na mmojawapo, asiyewaacha wale tisini na kenda nyikani, aende akamtafute yule aliyepotea hata amwone?

Lk. 15

Lk. 15:3-10