Law. 8:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

2. Mtwae Haruni, na wanawe pamoja naye, na yale mavazi, na mafuta ya kutia, na ng’ombe mume wa sadaka ya dhambi, na kondoo waume wawili, na kikapu cha mikate isiyotiwa chachu;

Law. 8