Law. 22:31-33 Swahili Union Version (SUV)

31. Kwa hiyo mtayashika maagizo yangu, na kuyafanya; mimi ndimi BWANA.

32. Wala msilinajisi jina langu takatifu; lakini nitatakaswa mimi katika wana wa Israeli; mimi ndimi BWANA niwatakasaye ninyi,

33. niliyewaleta mtoke nchi ya Misri, ili niwe Mungu wenu; mimi ndimi BWANA.

Law. 22