Law. 22:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

2. Nena na Haruni na wanawe, ili wajitenge wenyewe na vitu vitakatifu vya wana wa Israeli ambavyo wanitakasia mimi, tena kwamba wasilinajisi jina langu takatifu; mimi ndimi BWANA.

Law. 22