Law. 18:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

2. Nena wewe na wana wa Israeli, uwaambie, Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.

3. Nanyi msifanye matendo kama yale ya nchi ya Misri mliyokaa; wala msifanye matendo kama yale ya nchi ya Kanaani, nitakayowapeleka; wala msiende katika amri zao hao.

Law. 18