Kut. 25:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. BWANA akanena na Musa, akamwambia,

2. Waambie wana wa Israeli kwamba wanitwalie sadaka; kila mtu ambaye moyo wake wampa kupenda mtatwaa kwake sadaka yangu.

Kut. 25