Kut. 22:19-21 Swahili Union Version (SUV)

19. Mtu awaye yote alalaye na mnyama sharti atauawa.

20. Mtu atakayemchinjia sadaka mungu ye yote, isipokuwa ni yeye BWANA peke yake, na angamizwe kabisa.

21. Usimwonee mgeni, wala kumtendea jeuri; kwa kuwa ninyi mlikuwa wageni katika nchi ya Misri.

Kut. 22