Kut. 20:18 Swahili Union Version (SUV)

Watu wote wakaona umeme na ngurumo na sauti ya baragumu, na ule mlima kutoka moshi; na watu walipoona hayo wakatetemeka, wakasimama mbali.

Kut. 20

Kut. 20:11-26