Kut. 20:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Mungu akanena maneno haya yote akasema,

2. Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.

Kut. 20