Kut. 13:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. BWANA akasema na Musa, akamwambia,

2. Nitakasie mimi wazaliwa wa kwanza wote, kila afunguaye tumbo katika wana wa Israeli, wa binadamu na wa mnyama; ni wangu huyo.

Kut. 13