Kum. 27:25-26 Swahili Union Version (SUV)

25. Na alaaniwe atwaaye ujira wa kumwua asiye makosa. Na watu wote waseme, Amina.

26. Na alaaniwe asiyeyaweka imara maneno ya torati hii kwa kuyafanya. Na watu wote waseme, Amina.

Kum. 27