Kum. 15:22-23 Swahili Union Version (SUV)

22. Utamla ndani ya malango yako; wasio tohara na wenye tohara pia watakula, kama unavyokula paa na kulungu.

23. Pamoja na haya usile damu yake; uimwage nchi kama maji.

Kum. 15