Tazama, BWANA ametangaza habari mpaka mwisho wa dunia,Mwambieni binti Sayuni,Tazama, wokovu wako unakuja;Tazama, thawabu yake i pamoja naye,Na malipo yake yako mbele zake.