Isa. 60:9 Swahili Union Version (SUV)

Hakika yake visiwa vitaningojea,Na merikebu za Tarshishi kwanza,Ili kuleta wana wako kutoka mbali,Na fedha yao na dhahabu yao pamoja nao,Kwa ajili ya jina la BWANA, Mungu wako,Kwa ajili yake Mtakatifu wa Israeli,Kwa kuwa amekutukuza wewe.

Isa. 60

Isa. 60:1-10