Isa. 5:29-30 Swahili Union Version (SUV)

29. Ngurumo yao itakuwa kama ya simba;Watanguruma kama wana-simba;Naam, watanguruma na kukamata mateka,Na kuyachukua na kwenda zao salama,Wala hakuna mtu atakayeokoa.

30. Nao watanguruma juu yao siku hiyoKama ngurumo ya bahari;Na mtu akiitazama nchi, ataona giza na dhikiNayo nuru imetiwa giza katika mawingu yake.

Isa. 5