Naye atawatwekea bendera mataifa toka mbali,Naye atawapigia miunzi tokea mwisho wa nchi;Na tazama, watakuja mbio mbio upesi sana.