Isa. 30:19 Swahili Union Version (SUV)

Kwa maana watu watakaa katika Sayuni huko Yerusalemu; wewe hutalia tena; hakika yake atakuonea rehema nyingi kwa sauti ya kilio chako; asikiapo ndipo atakapokujibu.

Isa. 30

Isa. 30:11-27