Isa. 1:24 Swahili Union Version (SUV)

Kwa hiyo, asema Bwana, BWANA wa majeshi, Mwenye enzi, wa Israeli, Nitapata faraja kwa hao wanipingao, nitatwaa kisasi kwa adui zangu;

Isa. 1

Isa. 1:18-31