Hos. 4:17-19 Swahili Union Version (SUV)

17. Efraimu amejiungamanisha na sanamu; mwache.

18. Kileo chao kimegeuka kuwa uchungu; huzini daima; wakuu wake hupenda aibu.

19. Upepo umemfunikiza kwa mbawa zake; nao watatahayarika kwa sababu ya dhabihu zao.

Hos. 4