Hes. 9:18 Swahili Union Version (SUV)

Kwa amri ya BWANA Wana wa Israeli walisafiri, na kwa amri ya BWANA walipiga kambi; wakati lile wingu ilipokaa juu ya maskani walikaa katika kambi yao.

Hes. 9

Hes. 9:14-23