Hes. 33:30-33 Swahili Union Version (SUV)

30. Wakasafiri kutoka Hashmona, wakapanga Moserothi.

31. Wakasafiri kutoka Moserothi, wakapanga Bene-yakani.

32. Wakasafiri kutoka Bene-yakani, wakapanga Hor-hagidgadi.

33. Wakasafiri kutoka Hor-hagidgadi, wakapanga Yotbatha.

Hes. 33