27. Wakasafiri kutoka Tahathi wakapanga Tera.
28. Wakasafiri kutoka Tera, wakapanga Mithka.
29. Wakasafiri kutoka Mithka, wakapanga Hashmona.
30. Wakasafiri kutoka Hashmona, wakapanga Moserothi.
31. Wakasafiri kutoka Moserothi, wakapanga Bene-yakani.