Hes. 33:22-26 Swahili Union Version (SUV)

22. Wakasafiri kutoka Risa, wakapanga Keheletha.

23. Wakasafiri kutoka Keheletha, wakapanga katika mlima wa Sheferi

24. Wakasafiri kutoka huo mlima wa Sheferi, wakapanga Harada.

25. Wakasafiri kutoka Harada, wakapanga Makelothi.

26. Wakasafiri kutoka Makelothi, wakapanga Tahathi.

Hes. 33