Hes. 33:15-18 Swahili Union Version (SUV)

15. Wakasafiri kutoka Refidimu, wakapanga katika nyika ya Sinai.

16. Wakasafiri kutoka nyika ya Sinai, wakapanga Kibroth-hataava.

17. Wakasafiri kutoka Kibroth-hataava, wakapanga Haserothi.

18. Wakasafiri kutoka Haserothi, wakapanga Rithma.

Hes. 33