Hes. 32:35-37 Swahili Union Version (SUV) na Atrothi-shofani, na Yazeri, na Yogbeha; na, Beth-nimra, na Beth-harani; miji yenye maboma, na mazizi ya kondoo.